APPS 5 NZURI KWA AJILI YA KUPATA PREDICTIONS NZURI
Habari wafatiliaji wa blog yangu.Leo ninawaletea apps nzuri na za uhakika unazoweza kuzipata katika playstore kwa kutumia simu yako ya android.Apps hizi huwa zinatoa utabiri wa michezo kama vile,mpira WA miguu,tennis, mpira WA kikapu n.k.Apps zenyewe ni kama zifuatavyo-: 1:SportPesa Bet 2:Free VIP Tips 10 odds daily 3:HitWin Predicts 4:OLBG Sport Betting 5:Football Prediction Forebet NB:Kwa ushauri wangu ukiwanazo hizi katika simu yako jitahidi kuchagua timu moja au mbili katika kila app ili uwe na uhakika zaidi WA kushinda. Kwa habari tofauti tofauti tembelea blog yangu victorkileo.blogspot.com